Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akitambulisha viongozi kwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 4, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Ikulu jijini Dar es salaam Oktoba 4, 2016