RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AFUNGUA KIWANDA CHA KUSINDIKA MATUNDA CHA BAKHRESA KILICHOPO MWANDEGE MKURANGA MKOANI PWANI OKTOBA 6,2016

1Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa mara baada ya kuwasili katika kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani.

1dfhujhihRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakwanza (kulia), Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega wakivuta kamba kwa pamoja kuashiria ufunguzi rasmi wa kiwanda cha kusindika Matunda cha Bakhresa Mwandege mkoani Pwani.

2Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa kiwanda hicho cha usindikaji wa matunda kilichopo Mwandege mkoani Pwani. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo, Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega na Waziri wa Viwanda Biashara na uwekezaji Charles Mwijage.

4

 

5 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa wakiangalia mojawapo za hatua za usindikaji wa matunda aina ya maembe katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani

az6

 

7 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mahusiano wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Hussein Sufian Ally kuhusiana na hatua mbalimbali za usindikaji wa matunda katika kiwanda hicho kilichopo Mwandege mkoani Pwani.

8 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia vitendea kazi vya maabara katika kiwanda hicho cha usindikaji wa Matunda cha Bakhresa Mwandege mkoani Pwani.

9Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wafanyakazi Kundi la Makampuni ya Bakhresa kabla ya kuzungumza nao, kulia kwake ni Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa.

 

unnamed

 

 

11

 

az16Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi Kundi la Makampuni ya Bakhresa mara baada ya kufungua rasmi kiwanda cha Usindikaji wa Matunda cha Bakhresa kilichopo Mwandege mkoani Pwani.

12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mwenyekiti wa Kundi la Makampuni ya Bakhresa Said Salim Bakhresa mara baada ya ufunguzi wa kiwanda hicho

6Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali serikali na menejimenti ya Bakhresa Group

1

 

2

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali serikali na menejimenti ya Bakhresa Group na wafanyakazi wa kiwanda

4

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali serikali na menejimenti ya Bakhresa Group na wandishi wa habari

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *