RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI MGENI RASMI, KWENYE SHEREHE ZA MABOHORA ZA KUADHIMISHA MWAKA MPYA WA KIISLAMU 1438 KATIKA MSIKITI WA BOHORA UPANGA JIJINI DAR ES SALAAM OKTOBA 08,2016

1

 

1...Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsalimia kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin alipohudhuria kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016 

2

 

2

 

3Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016

1kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin akihutubia waumini wa madhehebu ya Bohora kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016

4

 

5Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na kiongozi Mkuu wa Madhehebu ya Bohora Duniani Mtukufu Dkt. Syedna Mufaddal Saifuddin alipohudhuria kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam Oktoba 08,2016

7

 

9

 

10

 

11

 

12Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na waumini wa Madhehebu ya Bohora kwenye sherehe za Mabohora za kuadhimisha Mwaka Mpya wa kiislamu 1438 katika Msikiti wa Bohora Upanga jijini Dar es salaam baada ya kuwahutubia Oktoba 08,2016

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *