Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkuu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania Mizengo Peter Pinda wakiwasili katika viwanja vya maafali ya 31 ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wahitimu wakati alipokuwa Mgeni rasmi katika Mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani aliyeketi kushoto ni Mkuu wa Chuo hicho Mizengo Peter Pinda Novemba 24,2016
Baadi ya wahitumu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika maafali ya 31 ya chuo hicho yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani
Mkuu wa Chuo hicho Mizengo Peter Pinda akitunuku Shahada, Stashahada na Vyeti mbalimbali vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika Mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani Novemba 24,2016
Baadi ya wahitumu wa chuo Kikuu Huria cha Tanzania wakitunukiwa Shahada, Stashahada na Vyeti mbalimbali vya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania katika Mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu hicho yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani Novemba 24,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimia na baadhi ya wahadhiri wa chuo hicho katika Mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na baadhi ya wahitimu wa Shahada ya Uzamivu ya Udaktari wa Falsafa wakati wa mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika kwenye kampasi ya chuo hicho huko Bungo, Kibaha, mkoa wa Pwani Novemba 24, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiondoka katika viwanja vya Mahafali ya 31 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania yaliyofanyika chuoni Bingo kibaha Mkoani Pwani, katikati ni Mkuu wa chuo hicho Mizengo Peter Pinda na kushoto ni Waziri wa Elimu, Sayansi ,Tekinolojia na mafunzo ya ufundi Prof. Joyce Lazaro Ndalichako