Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiweka sahihi hari ya kiapo baada ya kumuapisha Jaji Rehema Kiwanga Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Sivangilwe Sikalalilwa Mwangosi kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Jackobs Mwambegele kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe Angellah Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, katika picha ya pamoja na Majaji wapya wanne wa Mahakama ya Rufaa walioapishwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016