Amir jeshi mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimvisha cheo cha Jenerali kamishna Dkt. Anna Peter Makakala kabla ya kumuapisha kuwa kamishna Jenerali wa Uhamiaji Tanzania, Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala , Jenerali wa Uhamiani Tanzania baada ya kumvisha cheo cha Ujenelali Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha kamishna Jenerali Dkt. Anna Peter Makakala kuwa Jenerali wa Uhamiani Tanzania Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Rogers William sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Omar Yusuph Mzee kuwa Balozi Nchini Algeria Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Josep Sokoine kuwa Balozi Nchini Ubelgiji Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Grace Mgovano kuwa Balozi Nchini Uganda Ikulu Jijini Dar es salaamFebruari 12,2016
Viongozi wateule wakila kiapo za maadhili ya utumishi wa umma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanazani Mhe. Samia Suluhu Hassan Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam na viongozi mbalimbali wa Serikali baada ya kuwapisha Kamshna wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya, kamishna Jenerali wa Uhamiani, na Mabalozi watatu. Februari 12,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia viongozi mbalimbali Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kuwapisha Kamshna wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na Dawa za Kulevya, kamishna Jenerali wa Uhamiani, na Mabalozi watatu. Februari 12,2016