Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2017
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18,2017
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapa zawadi wanafunzi maafisa waliofanya vizuri katika masomo ya darasani na vitendo wakatia alipokua akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2017
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kwenye hati ya kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2017
Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) wakivalishana vyeo baada ya kupewa kamshini na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2017
Gwaride la Maafisa wa Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) likitoka uwanjani baada ya kupewa kamshini na Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18, 2017
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli pamoja na viongozi mbalimbali wakiangalia kikundi cha ngoma cha Jeshi wa wananchi wa Tanzania baada ya kutunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 60 katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18,2017
Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Makamo wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na viongozi wa juu wa jeshi la ulinzi na wizara ya ulinzi katika picha ya pamoja na asikali maafisa waliotunukiwa kamisheni Kundi la 60/16 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Februari 18,2017