RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA KATIKA KILELE CHA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MEI MOSI ILIYOFANYIKA KITAIFA MKOANI KILIMANJARO KATIKA UWANJA WA MPIRA WA CHUO KIKUU CHA USHIRIKA MJINI MOSHI MEI 1,2017

Mkuu wa mkoa wa kilimanjaro sadiq meck sadiq akimpokea Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehje zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro

 

Picha juu Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia wimbo uliokuwa ukiimbwa na msanii Mrisho Mpoto katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi kuhudhuria kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi Sherehje zilizofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro

 

 

 

 

 

 

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea mandamano ya wafanyakazi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mikono wakati wa wimbo wa Mshikamano daima pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Job Ndugai, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu sera Bunge, Kazi, Vijana na wenye ulemavu, Jenista Mhagama,Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Utawala bora Angela Kairuki, Rais wa Shirikisho la Vyama vya vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) Tumaini Nyamhokya pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Said Meck Saidik.

 

Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wafanyakazi na wananchi wa Mji wa Moshi katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017 

 

 

 

 

Umati wa wananchi na wafanyakazi wa mji  wa Moshi wakisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika kilele cha siku ya wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika kitaifa Mkoani Kilimanjaro katika uwanja wa mpira wa Chuo Kikuu cha Ushirika Mjini Moshi Mei 1,2017 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *