RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ATOA MSAADA WA MAGARI MAPYA YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) KWA WABUNGE WA NKASI, TABORA NA SHINYANGA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 9,2017

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwakabidhi  Wabunge Mhe Ali Mohamed Kessy (Nkasi Kaskazini)  Mhe. Munde tambwe (viti maalumu – Mkoa wa Tabora) na Mhe Lucy Mayenga (viti maalumu-mkoa wa Shinyanga) magari ya kubebea wagonjwa waliyopewa saada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2017 

 

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akimwangalia Mbunge wa Nkasi Mhe Ali Mohamed Kessy baada ya kumkabidhi gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam Mei 9, 2017

 

Mbunge wa Viti Maalumu shinyanga Mhe. Lucy Mayenga akionyesha kwa furaha funguo za gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa gari hilo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Mei 9, 2017

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tabora Mhe. Munde  akionyesha kwa furaha funguo za gari la kubebea wagonjwa alilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam baada ya kukabidhiwa gari hilo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Mei 9, 2017

Wabunge hao wakiwa wamesimama kila mtu kwa gari la kubebea wagonjwa walilopewa msaada na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam mara baada ya kukabidhiwa magari hayo na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi Mei 9, 2017

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *