RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AWAJULIA HALI WAKUU WA MIKOA YA KILIMANJARO, SIMIYU NA MJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA WALIOLAZWA MUHIMBILI OCTOBER 06, 2014

1

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo

2

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe Paschal Mabiti aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo

3

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba Mhe. Dkt Henry Mwijarubi Nyamubi aliyelazwa kwa matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam leo. 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *