RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO IKULU KUTOKA KWA MABALOZI WANNE

1

Mhe.Ismail Salem Balozi wa Malaysia akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam Julay 4, 2014 Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.

 

3

Mhe.Jhony Fred Balza Arismendi Balozi wa Venezuela akiwaasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam Julay 4,2014

 

Mhe Ahmat Awad Sakine Balozi wa Chad akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam Julay 4, 2014 Katikati ni Mkuu wa Itifaki Balozi Mohamed Maharage Juma.

4

 

Mhe.Georges Aboua Balozi wa Cote d’Ivore akiwasilisha hati zake kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam Julay 4, 2014

2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *