MWENYEKITI WA CCM NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AKIFUNGUA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WANAWAKE WA TANZANIA (UWT) MJINI DODOMA DISEMBA 8,2017.

Mama Maria Nyerere wakwanza kushoto  akiwa na Mama Salma Kikwete,Mama Fatuma Karume pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu tisa wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa UWT Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Taifa,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Satano Mahenge alipowasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa UWT Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM Taifa,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamhuri Mama Samia Suluhu Hassan alipowasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa UWT Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishangiliwa kwa shangwe  alipowasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa UWT Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha ufunguzi wa  mkutano mkuu wa UWT Disemba 8, 2017.

Mama Maria Nyerere wakwanza kushoto,Mama Fatuma Karume,Mama Salma Kikwete, pamoja na wajumbe wengine wa mkutano mkuu tisa wa Umoja wa wanawake Tanzania (UWT) wakiwa katika ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma kuhudhuria mkutano mkuu wa UWT Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM ,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza katibu wa UWT Amina Nassoro Makilagi katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Katibu mkuu wa CCM Abdurahamani Kinana  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza katibu wa UWT Amina Nassoro Makilagi katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

 

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

 

 

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha aliyekuwa mgombea wa Urais kwa Tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mghwila  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha  aliyekuwa mgombea wa Urais kwa Tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mghwila alipotangaza kujiunga CCM  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mama Janet Magufuli akisalimiana na aliyekuwa mgombea wa Urais kwa Tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mghwila  mara baaada ya kujiunga na chama cha mapinduzi katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiimba mara baada ya kumkaribisha aliyekuwa mgombea wa Urais kwa Tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo ambaye pia ni Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Bi.Anna Mghwila  katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mama Janet Magufuli akiwasalimia wajumbe katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mama Maria Nyerere  mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mama Maria Nyerere  mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga ngoma ya Bendi ya TOTI mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Mwenyekiti wa Chama cha mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Katibu mkuu wa chama cha mapinduzi CCM Abrahamani Kinana  mara baada ya kufungua mkutano mkuu wa tisa wa UWT  uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Mjini Dodoma Disemba 8, 2017.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *