Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janet Magufuli akiwa amemshika Mtoto Joshua ambaye alikuwa ameambatana na mama yake nje ya kanisa kabala ya Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli pamoja na Mkewe Mama Janet Magufuli wakiwa katika Ibada ya Majivu iliyofanyika katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akipakwa majivu na Pardre Vernance Tegete wakati wa Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janet Magufuli na waumini wengine mara baada ya kupaka majivu wakati ibada ikiendelea katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Padre wa Parokia ya Mtakatifu Joseph Padre Vernance Tegete mara baada ya Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Muadhama Policapy Kadinali Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiwa ameshikana mkono na Muadhama Policapy Kadinali Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Muadhama Policapy Kadinali Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki pamoja na Padre Vernance Tegete mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe Magufuli akiagana na Muadhama Policapy Kadinali Pengo Askofu mkuu wa Kanisa la Katoriki pamoja na Padre Vernance Tegete mara baada ya kushiriki Ibada ya Majivu katika Kanisa la Mtakatifu Joseph Jijini Dar Es Salaam.Februari 14,2018.