RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA AMIRI JESHI MKUU DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AMEMUAPISHA LUTENI JENERALI YAKUBU HASSAN MOHAMMED KUWA MNADHIMU WA JWTZ,PIA AMEKUTANA NA WAZIRI WA NYUMBA NA MAKAZI WILIAM LUKUVI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.FEBRUARI 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akisalimiana na Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi  kabala ya kuanza mazungumzo Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi Wiliam Lukuvi.Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

 

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Venance Mabeyo akiwavalisha vyeo vipya vya Meja Jenerali kutoka Cheo cha Brigedia Jenerali maafisa mbalimbali wa Jeshi hilo Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo wakati Maafisa Mbalimbali wastaafu wa (JWTZ) walipokuwa wakizungumza mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli akimvesha cheo cha Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed aliyekuwa Meja Jenerali .Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli akimpongeza Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed aliyepanda kutoka Meja Jenerali .Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli akimuapisha Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed kuwa Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

 

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed akizungumza mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli.Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Luteni Jenerali Mstaafu  James Mwakibolwa ambaye alikuwa Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) akizungumza mara baada ya kuapishwa Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli kuwa Mnadhimu mkuu mpya wa JWTZ. Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Waziri wa Ulinzi Dkt.Husein Mwinyi  kuzungumza mara baada ya tukio la uapisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika picha mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli kuwa Mnadhimu mkuu mpya wa JWTZ. Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli akiwa katika picha na kumpongeza Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed  mara baada ya kumuapisha kuwa Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ulinzi Dkt. Hussein Mwinyi, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Venance Mabeyo, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed pamoja na Maafisa wengine wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi ambao wamepandhishwa vyeo kutoka Cheo cha Brigedia Jenerali na kupewa cheo kipya cha Meja Jenerali Ikulu jijini Dar es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt.John Pombe Magufuli akifurahi jambo na Meja Jenerali Mstaafu Isamuyo aliyekuwa mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa (JKT),wengine ni  Katibu mkuu kiongozi Balozi John Kijazi,IGP Saimon Siro pamoja  na DGIS Modestus Kipilimba katika hafla ya kumuapisha Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohammed kuwa Mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ).Hafla ilyofanyika Ikulu Jijini Dar Es Salaam.Februari 15,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Waandishi mbalimbali wa habari waliofika kuripoti habari za Uapisho wa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Luteni Jenerali Yakubu Hassan Mohamed Ikulu jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *