RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA RASMI MRADI WA UMEME WA MW 240 WA KINYEREZI II.APRILI 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Dkt.Mendrad Kalemani Waziri wa Nishati akitoa maelekezo kuhusu mitambo ya kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Meneja wa Kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II Mhandisi Stivin Manda akitoa maelekezo kuhusu mitambo ya kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua mitambo ya kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Meneja wa Kituo cha kufua umeme cha Kinyerezi II Mhandisi Stivin Manda akitoa maelekezo kuhusu mradi wa kufua umeme kabla ya kuzindua rasmi mtambo wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiboneza kitufe kuashiria kuwasha rasmi mtambo wa Umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia  wananchi waliohuduria mara baada ya kuwasili katika sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi wakati mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Nishati Mhe.Dunstan Kitandula akizungumza wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Bw.Hiloyuki Kubota wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Sehemu ya mtambo mpya na wakisasa wa kufua umeme wa MW 240  wa kinyerezi II uliozinduliwa rasmi na Mhe.Rais Dkt.John Pombe Magufuli  nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Mhe.Dkt.Mendrad Kalemani(hayupo pichani) wakati wa sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na Dkt.Alexander Kyaruzi mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya TANESCO kabla ya kuhutubia wananchi katika sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wa kuwaaga  wananchi waliohuduria katika sherehe za uzinduzi rasmi mtambo wa umeme wa kinyerezi II nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam.Aprili 3,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *