RAIS KIKWETE AZUNGUMZA NA WAZEE WA MKOA WA DODOMA NOV 04, 2014

1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na wazee wa mji wa Dodoma  Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

12
Rais Kikwete akishangiliwa na wazee wakati akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Kilimani jijini Dodoma Nov 11, 2014  tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

11Rais Kikwete akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma Nov 11, 2014  tayari kwa  mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

13Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali akiingia katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani jijini Dodoma Nov 11, 2014  tayari kwa mkutano wake na wazee wa mji wa Dodoma Nov 11, 2014  11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza na Rais Kikwete  maswala kadhaa ya maendeleo.

9Wimbo wa Taifa

4Meza kuu ikiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

8

 

7 Ngoma ya utamaduni ya kabila la Wagogo likitumbuiza kabla ya kuanza kwa mkutano wa Rais Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma leo Oktoba 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

2
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea risala toka kwa Mwenyekiti wa Wazee wa Mkoa wa Dodoma Balozi Job Lusinde wakati wa mkutano na  wazee wa mji wa Dodoma  Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.

3 Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani wakati wa  Mazungumzo kati ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete na wazee wa mji wa Dodoma Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
 5

Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.
6 Sehemu ya wazee wakati wa  mkutano wao na  Rais Kikwete mjini Dodoma Nov 11, 2014 waliouitisha ili kuzungumza naye maswala kadhaa ya maendeleo.    12 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *