MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIWA KATIKA OFISI NDOGO ZA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM.MEI 11,2018

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.Mei 11,2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM kwa upande wa Tanzania Bara Philip Mangula katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.Mei 11,2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.Mei 11,2018.

 

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akitoka katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula pamoja na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana.Mei 11,2018.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Katibu Mkuu wa CCM Abrahman Kinana wakati akiondoka akiwa katika Ofisi ndogo za CCM Lumumba jijini Dar es Salaam.Mei 11,2018.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *