RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AWA MGENI RASMI UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM.MEI 19,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais wa shirikisho la mpira wa miguu (TFF) Wallece Karia alipowasili uwanja wa Taifa ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera kabla ya kukabdidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na wachezaji wa Timu ya Kagera Sugar wakati wa mechi dhidi ya Simba katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono na wachezaji wa Timu ya Simba wakati wa mechi dhidi ya Kagera Sugar katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiinua mikono juu na Waziri wa Wizara ya habari utamaduni Michezo Dkt.Harison Mwakyembe,Viongozi wa Shirikisho la mpira wa miguu (TFF) pamoja na mashabiki mkono na wachezaji wa Timu ya Simba wakati wa mechi dhidi ya Kagera Sugar katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Mashabiki wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akiakagua timu wakati wa mechi kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na aliyekuwa Rais wa CECAFA Rodger Tenga  wakati wa mechi kati ya klabu ya Simba na Kagera iliyofanyika katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Viongozi wa Wizara ya habari sanaa na Utamaduni,shirikisho la Mpira wa miguu (TFF),Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,viongozi wa mkoa wa Dar es salaam pamoja na wadhamini wa ligi kampuni ya Vodacom  wakishuhudia mchezo wa mechi kati ya klabu ya Simba na Kagera iliyofanyika katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akifurahi na Viongozi wa Wizara ya habari sanaa na Utamaduni,shirikisho la Mpira wa miguu (TFF),Wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama,viongozi wa mkoa wa Dar es salaam pamoja na wadhamini wa ligi kampuni ya Vodacom walipokuwa wakishuhudia mchezo wa mechi kati ya klabu ya Simba na Kagera iliyofanyika katika  uwanja wa Taifa ambapo alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

 

Mchezo wa mechi kati ya klabu ya Simba na Kagera ukiwa unaendelea katika  uwanja wa Taifa ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alalikwa ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Waziri wa Wizara ya habari sanaa na Utamaduni Dkt.Harrison Mwakyembe akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mara baada ya mchezo mchezo wa mechi kati ya klabu ya Simba na Kagera kumalizika  katika  uwanja wa Taifa ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys) na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia mara baada ya mchezo mchezo wa mechi kati ya klabu ya Simba na Kagera kumalizika  katika  uwanja wa Taifa ambapo Rais  Dkt. John Pombe Magufuli alialikwa  ili kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys),kuwapokea washindi wa pili klabu ya soka watoto wakike wanaoishi katika mazingira magumu na kushuhudia mechi ya ligi kuu kati ya Simba na Kagera pamoja na kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameambatana na  Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia pamoja na viongozi wengine wa shilikisho na wizara kwenda kupokea kombe la CECAFA  la Vijana chini ya miaka 17(Serengeti boys),kuwapokea washindi wa pili klabu ya soka watoto wakike wanaoishi katika mazingira magumu nankukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na timu ya Vijana wa kike wanaoishi katika mazingira magumu  ambao wamekuwa washindi wa pili katika michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika Nchini Urusi,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia pamoja na viongozi wengine wa shilikisho na wizara katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika kombe alilokabidhiwa na timu ya Vijana wa kike wanaoishi katika mazingira magumu  ambao wamekuwa washindi wa pili katika michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika Nchini Urusi,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia pamoja na viongozi wengine wa shilikisho na wizara,katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na nahodha wa timu ya Vijana wa kike wanaoishi katika mazingira magumu  ambao wamekuwa washindi wa pili katika michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika Nchini Urusi,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia pamoja na viongozi wengine wa shilikisho na wizara katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na timu ya Vijana wa Serengeti Boys ambao wamekuwa washindi katika michuano ya Kombe la CECAFA iliyofanyika Nchini Burundi kabla ya kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba.Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ameshika kombe alilokabidhiwa na timu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Serengeti boys ambao wamekuwa mabingwa wa CECAFA 2018  katika michuano iliyofanyika Nchini Burundi,hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na kuwapongeza timu ya Kagera kabla ya kukabidhi kombe la ligi kuu Vodacom kwa klabu ya Simba ambao ni mabingwa wa ligi kuu 2017-2018. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwavesha medani na kuwapongeza timu ya klabu ya Simba kabla ya kukabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu Vodacom  2017-2018. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakabidhi kombe la ubingwa wa ligi kuu Vodacom  2017-2018 Klabu bya Simba. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Vijana wa kike wanaoishi katika mazingira magumu  ambao wamekuwa washindi wa pili katika michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika Nchini Urusi,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia (Rais wa TFF),Mkuu wa mkoa Paul Makonda pamoja na mdhamnini wa ligi kuu kampuni ya Vodacom. Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na timu ya Vijana chini ya miaka 17 ya Serengeti boys ambao wamekuwa mabingwa wa CECAFA 2018  katika michuano iliyofanyika Nchini Burundi,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia (Rais wa TFF),Mkuu wa mkoa Paul Makonda pamoja na mdhamnini wa ligi kuu kampuni ya Vodacom. Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya waamuzi waliochezesha mchezo kati ya klabu ya Simba na Kagera Sugar ambao umemalizika kwa Simba kufungwa goli 1- 0 na Kagera katika mechi iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia (Rais wa TFF),Mkuu wa mkoa Paul Makonda pamoja na mdhamnini wa ligi kuu kampuni ya Vodacom.Mei 19,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja mabingwa wa ligi kuu Vodacom  2017-2018 Klabu bya Simba. katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam,wengine ni Waziri wa Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe,Wallece Karia (Rais wa TFF),Mkuu wa mkoa Paul Makonda pamoja na mdhamnini wa ligi kuu kampuni ya Vodacom.Mei 19,2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *