RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA MAGAWIO TOKA KATIKA TAASISI, MASHIRIKA NA MAKAMPUNI YA UMMA.JULAI 23,2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekliti wa Bodi ya Mamlaka ya Usafiri wa Anga (TCAA) Profesa Rutasitara akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCAA Bw. Hamza Johari  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam . Julai 23, 2018  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Balozi Ben Moses akiwa na Kaimu Mkurugenzi wa TFDA Bi. Agnes Kijo   katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Julai 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Shirika la Viwango (TBS)  Prof. Makenya Abraham Honoratus Maboko akiwa na  Mkuruigenzi wa TBS Profesa Egird Mubofu  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam . Julai 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Bandari  Profesa Ignas Rubaratuka aliye pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Mhandisi Deusdedit Kakoko  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Julai 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio toka kwa  Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara   katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam Jumatatu Julai 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi cheti Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali George Waitara   katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Julai 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akikabidhi Cheti cha kutambua kuvuka malengo ya gawio  kwa  Mwenyekiti wa Bodi Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA)  Dkt. Jonas Kilimbe akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Mhandisi James Kulaba  katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Julai 23, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na meza kuu wakipata picha ta pamoja na wajumbe wa Kamati ya Kudumua ya Bunge ya Uwekezaji wa Mtaji wa Umma baada ya kupokea magawio kutoka katika taasisi, mashirika na Makampuni ya Umma katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa ya Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.Julai 23, 2018

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *