Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Mugumu katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Ngoma za asili kutoka Mugumu Serengeti mkoani Mara zikitumbuiza katika viwanja vya Mugumu mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika viwanja hivyo. Wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti wakimsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.Wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti wakimshangilia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akiwahutubia mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Natta Mugumu katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara.
Wananchi wa Isenyi wakimshangilia mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliposimama kuwasalimia wananchi hao wa Isenye katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Isenye katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiandika kero mbalimbali aliposimama kuwasalimia wananchi wa Isenye katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Isenye katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara.