Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnel kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018
Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnel akisalimiana na katibu Mkuu wa Mambo ya Nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Dkt.Faraji Kasidi Mnyepe mara baada ya kuwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnel mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero mara baada yapokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Spain nchini Mhe. Maria Pedros Carrtero mara baada yapokea Hati za Utambulisho kutoka kwa balozi huyo kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam .Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi mara baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi mara baada ya kupokea hati yake ya utambulisho kwenye sherehe iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba 8, 2018