Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kupokea vitabu vya Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John baada ya kumuapisha Kamishna Valentino Longino Mlowola kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam . Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU pamoja na Makamanda wa Mikoa Yote na Maafisa Waandamizi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Diwani Athumani na Naibu wake Brigedia Jenerali John Mbungo pamoja na Kamishna Valentino Longino Mlowola baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba na kupokea Ripoti ya Utendaji Kazi wa TAKUKURU kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam. Machi 28, 2019.