RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA CHUO CHA KITANGALI NEWALA MKOANI MTWARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Newala hawapo pichani wakati aliposimama kukagua barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Newala hawapo pichani wakati akipita mara baada ya kukagua barabara ya Mtwara-Newala-Masasi km 210 itakayojengwa kwa kiwango cha lami.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa kiwanda cha Korosho cha Micronix System Ltd cha Newala mara baada ya kuwasili Wilayani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Tandahimba wakati akiwa njiani kuelekea Masasi mkoani Mtwara. 

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akiwasalimia Wananchi wa Tandahimba Mkoani Mtwara mara baada ya Msafara wa Rais wa Jamhuri Dkt. John Pombe Magufuli kusimama kwaajili ya kuwasalimia alipokuwa akielekea Kuweka jiwe la msingi la ujenzi katika chuo cha Ualimu cha Kitangali Wilayani Newala Mkoa wa Mtwara. Aprili 3, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Newala Mkoani Mtwara aliposimama kuwasalimia akiwa njiani kuelekea katika chuo cha Ualimu Kitangali kilichopo Wilaya ya Newala Mkoa wa Mtwara ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake ya siku tatu Mkoani humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiweka jiwa la msingi kuashiria ukarabati wa majengo ya Chuo cha
Ualimu Kitangali kilichopo Newala Vijijini akiwa na  Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichaki, Balozi wa Canada
nchini Mhe. Pamela O’Donnell na viongozi wengine, Aprili 3,
2019. Mradi wa ukarabati wa chuo hicho ni moja ya miradi inayohusisha
ukarabati wa vyuo vya ualimu nchini vikiwemo vya Ndala, Shinyanga na
Mpuguso kwa gharama ya shilingi bilioni 36.475 ikiwa ni ufadhili wa
serikali ya Canada iliyotoa shilingi bilioni 28.275 wakati serikli ya
Tanzania imetoa shilingi bilioni 8.200.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana mikono na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnell baada
ya kuweka jiwa la msingi kuashiria ukarabati wa majengo ya Chuo cha
Ualimu Kitangali kilichopo Newala Vijijini akiwa na  Waziri wa Elimu,
Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako  na viongozi wengine
,Aprili 3, 2019. Mradi wa ukarabati wa chuo hicho ni moja ya
miradi inayohusisha ukarabati wa vyuo vya ualimu nchini vikiwemo vya
Ndala, Shinyanga na Mpuguso kwa gharama ya shilingi bilioni 36.475
ikiwa ni ufadhili wa serikali ya Canada iliyotoa shilingi bilioni
28.275 wakati serikli ya Tanzania imetoa shilingi bilioni 8.200.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akipeana  mikono na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa
Joyce Ndalichako baada ya kuweka jiwa la msingi kuashiria ukarabati wa
majengo ya Chuo cha Ualimu Kitangali kilichopo Newala Vijijini akiwa
na Balozi wa Canada nchini Mhe. Pamela O’Donnell  na viongozi wengine
, Aprili 3, 2019. Mradi wa ukarabati wa chuo hicho ni moja ya
miradi inayohusisha ukarabati wa vyuo vya ualimu nchini vikiwemo vya
Ndala, Shinyanga na Mpuguso kwa gharama ya shilingi bilioni 36.475
ikiwa ni ufadhili wa serikali ya Canada iliyotoa shilingi bilioni
28.275 wakati serikli ya Tanzania imetoa shilingi bilioni 8.200.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Balozi wa Canada Nchini Mheshimiwa Pamela O Donnell pamoja na Waziri wa Elimu Profesa Joyce Ndalichako kabla ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo cha Kitangali kinachojengwa na Serikali kwa kushirikiana na Canada Wilayani Newala Mkoa wa Mtwara. Aprili 3, 2019

Sehemu ya Majengo ya mapya ya Chuo cha Kitangali ambayo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo hicho.

Sehemu ya Nyumba za makazi Mapya ya Walimu wa Chuo cha Kitangali ambayo Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa chuo hicho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *