RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA BARABARA YA MBINGA-MBAMBA BAY KM 67 WILAYANI MBINGA MKOANI RUVUMA. APRILI 07,2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe wakivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi mradi wa Ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami kutoka Mbinga mjini mpaka Mbamba Bay km 67, sherehe zilizofanyika Mbinga mkoani Ruvuma. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Alex Mubiru akishuhudia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli, Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwelwe, Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Alex Mubiru wa pili kutoka kushoto , Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Godfrey Zambi watatu kutoka kulia, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Arch. Elius Mwakalinga wapili kutoka kulia, Mwalikishi wa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng. Chrisianus Ako wa kwanza kulia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB Dkt. Alex Mubiru wa kwanza kulia aliyekaa wakiwa katika picha ya pamoja na wakandarasi wa ujenzi wa barabara ya Mbinga mjini mpaka Mbamba Bay km 67, wafanyakazi, wasimamizi pamoja na viongozi wengine.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa kwa wafuraha na wananchi mbalimbali waliofika katika viwanja vya Mbinga mjini kabla ya kuwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokewa kwa wafuraha na wananchi mbalimbali waliofika katika viwanja vya Mbinga mjini kabla ya kuwahutubia.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanafunzi wenye ulemavu wa ngozi(Albinism ) wanaosoma Shule ya St. William iliyopo Mbinga mkoani Ruvuma. Rais Dkt. Magufuli amewachangia watoto hao kiasi cha Shilingi milioni tatu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi pamoja na Wanafunzi wa Shule mbalimbali za eneo la Kigonsera (hawaonekani pichani) Mbinga mkoani Ruvuma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi wa Liganga wakati akiwa njiani kuelekea Mbinga mkoani Ruvuma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wanachi pamoja na Wanafunzi wa Shule mbalimbali za eneo la Kigonsera (hawaonekani pichani) Mbinga mkoani Ruvuma.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *