RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI MKOANI MBEYA NA KUWASALIMIA WAKAZI WA MBALIZI, NZOVWE, IYUNGA NA MAFIATI JIJINI MBEYA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwasili katika uwanja wa ndege wa Songwe mkoani Mbeya mara baada ya kuwasili akitokea nchini Malawi.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Mbeya waliofika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) aliyefika katika uwanja wa ndege wa Songwe kumpokea

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Mbalizi wakati akielekea Mbeya mjini.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasikiliza wananchi wa Mbalizi mara baada ya kuwasili katika eneo hilo.

Wananchi wa Mafiati jijini Mbeya wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli alipowasili katika eneo hilo.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) katika eneo la Mafiati mara baada ya kuhutubia.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Nzovwe mara baada ya kuwasili katika eneo hilo. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia  jambo na Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) katika eneo la Mafiati mara baada ya kuhutubia

 

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Masista katika eneo la Uzunguni mkonia Mbeya mara baada ya kuwasili jijini humo.

 

 

Wakazi wa Nzovwe jijini Mbeya wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika eneo hilo wakati akitokea katika uwanja wa ndege wa Songwe.

Wakazi wa Iyunga jijini Mbeya wakishangilia mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili katika eneo hilo wakati akitokea katika uwanja wa ndege wa Songwe.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Uzunguni Mkoani Mbeya wakati akielekea Ikulu. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *