RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI MEI MOSI KATIKA UWANJA WA SOKOINE JIJINI MBEYA . MEI 1, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa TUCTA pamoja na Viongozi wengine wakiimba wimbo wa Mshikamano katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za Wafanyakazi Mei Mosi zilizofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya

Wafanyakazi wakiwa wameshikana mikono huku wakiimba wimbo wa mshikamano katika kilele cha maadhimisho ya sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la Taaluma na Utawala la chuo Kikuu cha Mzumbe mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akielekea kukagua majengo ya Chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la Mbeya mara baada ya kuweka jiwe la msingi.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipata maelezo ya ujenzi wa majengo ya Utawala na Taaluma katika chuo Kikuu cha Mzumbe tawi la mkoani Mbeya.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wafanyakazi wa Serikali, Taasisi mbalimbali za umma na binafsi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya.

Wafanyakazi wakiwa katika shamrashamra za Mei mosi kitaifa iliyofanyika katika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *