RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA DKT. MPOKI ULISUBISYA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI CANADA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM MEI 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Mpoki Ulisubisya kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Dkt. Mpoki Ulisubisya akiweka sahihia baad ya kumuapisha kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi nyenzo za kazi Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshuhudia Dkt. Mpoki Ulisubisya akila kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma baada ya kumuapisha
kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam.  Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimsindikiza Mzee Ulisubisya Mwasumbi baba mzazi wa Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha mwanae kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mke wa Dkt. Mpoki Ulisubisya baada ya kumuapisha mumewe kuwa Balozi wa  Tanzania nchini Canada  wakati wa hafla fupi iliyofanyika  Ikulu jijini Dar es salaam. Mei 20, 2019. Wengine ni Baba na wana familia ya Balozi huyo mpya

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *