RAIS MHE. DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Denmark hapa nchini Mhe. Mette Norgaard Dissing Spandet Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Denmark hapa nchini Mhe. Mette Norgaard Dissing Spandet mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Balozi wa Angola hapa nchini Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Angola hapa nchini Mhe. Sandro Renato Agostinho De Oliveira mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe. Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe Balozi mteule wa Zimbabwe hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mhe. Sanjiv Kohli Balozi wa India hapa nchini Ikulu jijini Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Zimbabwe hapa nchini Mhe. Meja Jenerali Anselem Nhamo Sanyatwe mara baada ya kupokea Hati zake za Utambulisho Ikulu jijini Dar es Salaam. 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *