RAIS MHE. DKT. MAGUFULI NA MKWEWE JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA MISA TAKATIFU DOMINIKA YA 34, YA MWAKA “C” KATIKA KANISA MT. BIKIRA MARIA IMACULATA PAROKIA YA CHAMWINO IKULU JIJINI DODOMA. NOVEMBA 24, 2019

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakishiriki Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakitoa sadaka wakati wa Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Paroko Laurent Felix Lello wa Parokia ya Chamwino Ikulu mara baada ya  Ibada ya Misa takatifu dominika ya 34 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Parokia ya Chamwino Ikulu Jijini Dodoma leo Novemba 24, 2019. Hii ni mara ya Kwanza kwa Rais na Familia yake kushiriki misa katika parokia hii toka ahamie rasmi Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *