RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM

unnamed-1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Desemba 28, 2014 na kuzikwa Desemba 29, 2014

unnamed

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian alifariki Desemba 28, 2014 na kuzikwa Desemba 29, 2014

unnamed-2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *