RAIS DKT MAGUFULI AKABIDHI NYUMBA ZA MAAFISA NA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA GEREZA LA UKONGA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea baada ya  kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua baada ya kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili eneo zilipojengwa nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe za kuzikabidhi nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mikono na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Mbunge wa Ilala Mhe. Mussa Hassan Zungu baada ya utepe kufungua rasmi  nyumba za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama ndani ya mojawapo ya nyumba  za Maafisa na Askari wa Jeshi la Magereza Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza.  Januari 23, 2020

Muonekano wa Nyumba za Maafisa na Askari Magereza zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo kwa Jeshi la Magereza. Januari 23, 2020

Kikundi cha Utamaduni cha JKT Kikitumbuiza wakati wa sherehe za kukabidhi Nyumba za Maafisa na Askari Magereza zilizofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwenye sherehe ya kukabidhi  nyumba hizo  Gereza la Ukonga jijini Dar es salaam. Januari 23, 20

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *