RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AHUDHURIA NA KUSHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR JANUARY 12, 2014

D92A6490

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete na Amiri Jeshi Mkuu wa Vyombo vya Ulinzi na usalama akipewa heshima na vikosi vya ulinzi mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015

6bgbgbb

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dkt.Jakaya  Mrisho Kikwete akisalimiana na mwenyeji wake Rais Wa Serikali ya Mapinduzi  ya Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati wa sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015 

1

 

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mama Fatma Karume muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa michezo wa Amani mjni Zanzibar kushiriki sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

4

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mustaafu wa awamu ya pili  Ali Hassan Mwinyi mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015

2

 

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Rais Mustaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015

2 (1)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais Seif Sharif Hamad  mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015

2 (2)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi  mara baada ya kuwasili katika sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015

8

Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo wakati akizungumza na mwenyeji wake Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

1

 

2

 

3

 

4

 

5

Vikosi vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya ja jukwaa kuu la viongozi  katika sherehe za miaka  51 ya Mapinduzi ya Zanzibar ziizofanyik katika uwanja wa michezo wa Amani mjini Zanzibar January 12, 2015

 

 

 

 

 

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *