Tazama video ya katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akitangaza mabadiliko ya Baraza la Mawaziri January 24, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na mawaziri na manaibu waziri aliowaapisha ikulu jijini Dar es Salaam January 24, 2015 Wanne kushoto ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
TAZAMA VIDEO JINSI RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYO WAAPISHA MAWAZIRI NA MANAIBU WAZIRI WAPYA 24 JAN 2015