RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AFUNGUA VIWANDA VITATU MKOANI MOROGORO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Loata Ole Sanare, Mkurugenzi wa Kiwanda cha Ace Leather Tanzania Ltd zamani kiwanda cha Ngozi cha Taifa-Morogoro Rostam Aziz wakati akifungua kiwanda hicho kilichopo Kihonda katika Manispaa ya Morogoro leo tarehe 12 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Kiwanda cha Kuchakata Mpunga cha MW Rice Millers limited kilichopo Kihonda mkoani Morogoro leo tarehe 12 Februari 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiangalia Ngozi ambayo imeshatengenezwa katika Kiwanda hicho cha  kilichopo Morogoro.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifungua Kiwanda cha kusafisha na kufungasha mazao cha Mahashree Tanzania Limited kilichopo nje kidogo ya Manispaa ya Morogoro.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *