Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na majonzi na uzuni wakati akifatilia ibada ya heshima za mwisho ya kumuga Balozi John William Kijazi aliekua Katibu Mkuu Kiongozi leo Februari 19 Februari 2021.
Rais Magufuli akiagana na Rais mstaafu Mhe. J. Kikwete, Makamo wa Rais Mhe. Samia Sululu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Makamo wa pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na Jaji mkuu Prof .Ibrahim Hamis Juma, wakati wa ibada ya kuaga mwili wa aliekua Katibu mkuu kiongozi Balozi John William Kijazi viwanja vya Karim Jee leo.
PICHA; MHE.MAGUFULI ASHIRIKI IBADA YA KUAGA MWILI WA BALOZI JOHN WILLIAM KIJAZI ALIEKUA KATIBU MKUU KIONGOZI
Leave a reply