RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI JANUARY 26, 2015

1dffff

Rais  Jakaya Mrisho Kikwete akitoa mkono wa pole kwa watawala na familia mjini Riyadh, Saudi Arabia Jumapili, Januari 25, 2015, alipofika kuhani kuhani kifo cha Mfalme Abdullah bin Abdul Aziz al Saud aliyefariki Alhamisi na kuzikwa Ijumaa ya wiki iliyopita. Baada ya kuhani msiba wa Mfalme Abdullah, Rais Kikwete ameendelea na safari yake kwenda nchi za Ujerumani na Ufaransa kwa ziara za kikazi.

2 v v v vv v

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Bi Fawzia Rasheed, Mkuu wa Sera wa Global Alliance for Vaccines and Immunization (Gavi Alliance) alipotua mjini Berlin, Ujerumani, January 26, 2015 kuungana na viongozi mbali mbali duniani kujadili  jinsi ya kuboresha mipango ya utoaji chanjo kwa watoto wadogo hasa katika nchi  zinazoendelea.

ANGALIA VIDEO JINSI RAIS KIKWETE ALIYOWASILI UJERUMANI BAADA YA KUTOKA SAUDI ARABIA  KUHANI MSIBA 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *