
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Mohamed Gharib Bilal na Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa Mzee Philip Mangula kwenye Uwanja wa Ndege wa Dodoma wakati kupokea Mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Jana Usiku March 21,2021.