PICHA:MAZIKO YA HATI MHE.RAIS MAGUFULI -CHATO

Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Sita wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Taifa wakati wa ibada maalumu ya mazishi ya aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Chato Mkoani Geita,
Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Sita wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka mchanga kwenye Kaburi la aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli aliefariki kwa maradhi ya Moyo tarehe 17 Machi na kuzikwa nyumbani kwake Chato mkoani Geita Tarehe 26 Machi 2021
Mhe. Mama Janeth Magufuli , Mjane wa aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiweka mchanga kwenye Kaburi la mumewe wakati wa mazishi yaliyofanyika nyumbani kwake Chato mkoani Geita Tarehe 26 Machi 2021
Rais wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mhe Dkt. Huseein Ali Mwinyi akiweka mchanga kwenye kaburi la aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mazishi yake kijijini chato
Rais mstaafu wa awamu ya pili Mhe Ali Hassan Mwinyi akiweka mchanga kwenye kaburi la aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mazishi yake kijijini chato
Rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mkewe Mama Salima Kikwete wakiweka mchanga kwenye kaburi la aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mazishi yake kijijini chato
Rais mstaafu wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar Mhe Dkt. Mohamed Shein akiweka mchanga kwenye kaburi la aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa mazishi yake kijijini chato
Watoto wa aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli wakielekea kuweka shada la maua kwenye kaburi la Baba yao.
Mhe. Mama Janeth Magufuli , Mjane wa aliekuwa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Bendera ya Taifa kuashiria heshima na kumbukumbu ya utawala wa awamu ya Tano wa Hayati Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *