UTEUZI

Rais Samia Suluhu Hassan amteua Dkt. philip Isdory Mpango Kuwa Makamo wa Rais. Na kuthibitishwa na Bunge kwa kura zote leo . Mhe. Dkt.Mpango anatarajiwa kuapishwa Ikulu ya chamwino kesho tarehe 31 Machi 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *