Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan awasili Dar akitokea Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akipokelewa na Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge viongozi wengine wa kamati ya ulinzi na usalama mkoa , Wakati akiwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere akitokea Dodoma leo Tarehe 3 April 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *