Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 04 Aprili, 2021 amefanya uteuzi wa Makatibu Wakuu wa Wizara, Naibu Makatibu Wakuu wa Wizara na Wakuu wa Taasisi mbalimbali kama ifuatavyo.
Makatibu Wakuu.
Ikulu.
Katibu Mkuu – Dkt. Moses Mpogole Kusiluka
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI).
Katibu Mkuu – Prof. Riziki Silas Shemdoe
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Jerald Geofrey Mweli (Elimu)
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Grace Maghembe (Afya)
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.
Katibu Mkuu – Dkt. Laurian Josephat Ndumbaro
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Francis Kasabubu Michael
Ofisi ya Makamu wa Rais.
Bi. Mary Ngelela Maganga
Bw. Mohammed Abdallah Khamis
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu.
Katibu Mkuu – Tixon Tuyangine Nzunda
Naibu Katibu Mkuu – Prof. Jamal Adam Katundu
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Caspary Caspary Muya
Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji.
Katibu Mkuu – Prof. Godius Kahyarara
Wizara ya Fedha na Mipango.
Katibu Mkuu – Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Adolf Hyasinth Ndunguru
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Amina Khamis Shaaban
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Khatib Malimi Kazungu
Wizara ya Katiba na Sheria.
Katibu Mkuu – Bw. Sifuni Ernest Mchome
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Amon Anastaz Mpanju
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
Katibu Mkuu – Dkt. Faraj Kasidi Mnyepe
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Katibu Mkuu – Brig. Jen. Wilbert A. Ibuge
Naibu Katibu Mkuu – Balozi Fatma Rajab
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Katibu Mkuu – Bw. Christopher Derek Kadio
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Ramadhan Kailima Kombwey
Wizara ya Viwanda na Biashara.
Katibu Mkuu – Bw. Doto Mgosha James
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Hashil TWaibu Abdallah
Wizara ya Madini.
Katibu Mkuu – Bw. Simon Samwel Msanjila
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Katibu Mkuu – Bi. Mary Gasper Makondo
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Nicholas Mserinyo Mkapa
Wizara ya Maji.
Katibu Mkuu – Bw. Anthony Damian Sanga
Naibu Katibu Mkuu – Bi. Nadhifa Sadiki Kemikamba
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Katibu Mkuu – Dkt. Hassan Abbas Said
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Ali Possi
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia.
Katibu Mkuu – Dkt. Leonard D. Akwilapo
Naibu Katibu Mkuu – Prof. James Epiphan Mdoe (Elimu, Sanyansi na Teknolojia)
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Carolyne Ignatius Nombo (Elimu ya Msingi, Elimu ya Sekondari na Ufundi Stadi)
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto.
Katibu Mkuu – Dkt. Abel Nkono Makubi
Katibu Mkuu – Dkt. John Anthony Kiang’u Jingu
Wizara ya Kilimo.
Katibu Mkuu – Bw. Andrew Wilson Massawe
Naibu Katibu Mkuu – Prof. Siza Donald Tumbo
Wizara ya Mifugo na Uvuvi.
Katibu Mkuu – Dkt. Rashid Adam Tamatamah
Katibu Mkuu – Prof . Elisante Gabriel Laizer
Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi.
Katibu Mkuu – Bw. Joseph Kizito Malongo (Ujenzi)
Katibu Mkuu – Bw. Gabriel Joseph Migire (Uchukuzi)
Wizara ya Nishati.
Katibu Mkuu – Mhandisi Leonard Robert Masanja
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Kheri Abdul Mahimbali
Wizara ya Maliasili na Utalii.
Katibu Mkuu – Dkt. Allan Herbert Kijazi
Naibu Katibu Mkuu – Bw. Ludovick James Nduhiye
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.
Katibu Mkuu – Dkt. Zaunabu Abdi Chaula
Naibu Katibu Mkuu – Dkt. Jim James Yonazi
Wakuu wa Taasisi na Idara za Serikali.
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali – Bw. Gerson Partinus Msigwa.
Mganga Mkuu wa Serikali – Dkt. Aifello Wedson Sichwale.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) – Bw. Alhayo Japan Kidata.
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya – Bw. Gerald Kusaya Musabila.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) – Dkt. Jabir Bakari Kuwe.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) – Bw. Masha John Mshomba.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) – Bw. Erick Benedict Hamis.
Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Meli Tanzania (TASAC) – Bw. Kaimu Abdi Mkeyenge.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) – Bw. Thobias Mwesiga Richard.
Uteuzi huu unaanza leo tarehe 04 Aprili, 2021 na wateule wataapishwa Jumanne tarehe 06 Aprili, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.