RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA UJUMBE MAALUMU WA RAIS WA KENYA IKULU DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Bahasha yenye ujumbe kutoka kwa Mhe. Balozi Amina Mohamed mjumbe maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta leo 10 Aprili, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Kimataifa Kikanda Balozi Liberata Mulamula na Katibu mkuu kiongozi Balozi Hussein Athman Kattanga wakati mhe Rais akipokea ujumbe kutoka kwa Mhe. Balozi Amina Mohamed mjumbe maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta leo 10 Aprili, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *