ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NCHINI UGANDA

Mhe rais Samia Suluhu Hassan akiagana na Mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni ikulu ya Entebbe Mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku moja nchini Uganda leo. Tarehe 11 April 2021

Mhe rais Samia Suluhu Hassan akiondoka ikulu mara baada ya kuagana na Mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni ikulu ya Entebbe ,Mhe Rais Samia Suluhu Hassan amemaliza ziara yake ya siku moja nchini Uganda leo. Tarehe 11 April 2021
Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akifurahia Jambo na Mwenyeji wake Mhe Rais Yoweri Kaguta Museveni, ikulu Entente uganda , ambapo Mhe Rais alishuhudia utiwaji wa saini Kati ya serikali ya uganda na Kampuni ya Total ya nchini ufaransa wa ujenzi wa Bomba lamafuta la Ohima Uganda mpaka Chongeleani Mkoani Tanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *