RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI MHE. ALI HASSAN MWINYI AME MTEMBELEA RAIS WA JAMHURI YAMUUNGANO WA TANZANIA MHE. SAMIA SULUHU HASSAN .

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021

Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *