RAIS SAMIA AMUAPISHA YUSUF TINDI MNDOLWA KUWA MKUU WA ITIFAKI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Yusuph Tindi Mndolwa kuwa Balozi katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 18 Aprili 2021.
Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje Balozi Yusuph Tindi Mndolwa akila Kiapo cha Uadilifu pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Serikali Mtandao eGA Bw. Benedict Benny Ndomba mara baada ya hafla ya Uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 18 Aprili 2021.

Mkuu wa Itifaki (Chief of Protocol) katika Wizara ya Mambo ya Nje Nchini Balozi Yusuph Tindi Mndolwa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *