RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA NCHINI TANZANIA IKULU JIJINI DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang wakwanza kulia kutoka kwa Mhe. Rais, ambaye aliambatana na Viongozi wenzake wenzake Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara wa China hapa nchini, (Chinese Business Chamber of Tanzania) Janson Huang akizungumza na Wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dodoma leo tarehe 21 Aprili, 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *