PICHA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO MHE. SAMIA AKIWA BUNGENI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride maalumu lililoandaliwa kwaajili yake wakati alipofika viwanja vya ukumbi wa Bunge kulihutubia Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma leo Tarehe 22 April 2021
Picha mbalimbali zikimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati alilihutubia Bunge la jamhuri ya muungano jijini Dodoma leo Tarehe 22 April 2021

Rais wa Jmahuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya Pamoja na Marais wastaafu Rais mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi , na Mhe.rais mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya mhe. rais Samia kumaliza kulihutubia Bunge la jamhuri ya muungano jijini Dodoma leo Tarehe 22 April 2021

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *