RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA YA RUFANI PAMOJA NA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Awamu Ahmada Mbagwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Lilian Jonas Itemba kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ayoub Yusuf Mwenda kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Emmanuel loitare Ngigwana kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha James Mutakyahwa Karayemaha kuwa Jaji wa Mahakama Kuu katika hafla ya Uapisho wa Majaji hao iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 17 Mei, 2021.
Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho wao Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi wa Umma mara baada ya tukio la Uapisho wao Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *