Mhe. Rais Samia Samia Suluhu Hassan Akutana na Kuzungumza na Viongozi Mbalimbali wa UN Mini New York, Nchini Marekani tarehe 21 September, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Benki ya Dunia Bw. David Malpass, walipokutana katika ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UN) Jijini New York, Nchini Marekani Tar eye 21 September, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani leo Sept 21,2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Biashara Duniani (WTO) Bibi Ngozi Okonjo Iweala, walipokutana kwenye ufunguzi wa mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa UN Jijini New York Nchini Marekani tarehe 21 September, 2021.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *