Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha na kumkabidhi vitendea kazi Balozi mpya wa Tanzania nchini Kenya Bwana John Haule February 12, 2015 Katika hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimwaapisha Naibu katibu mkuu Wizara ya Fedha, Dkt.Hamisi Mwinyimvua February 12, 2015 Katika hafla hiyo iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
TAZAMA VIDEO